http://kariakoodsm.blogspot.com
KARIAKOO BLOG:Kwa Habari Kali Za Mjini | SIASA | BURUDANI | UCHUMI | FASHION | BLOGGER TRICKS | UDAKU | MICHEZO | WASILIANA NA MIMI|0713305567 |urassaombeni@yahoo.com|KWA| MATANGAZO| BABARI| USISITE PIA KUCOMMENT KWENYE HABARI ZETU | <div style='background-color: #de24de;'><a href='http://www.ikiloop.com/' title='link'></a></div>

PICHA ZA MATUKIO VURUGU ZA WAFANYA BIASHARA LEO MKOANI MBEYA KUPINGA MASHINE ZA TRA





Polisi wakiwa katika ulinzi mkali 
Maduka yakiwa yamefungwa 

Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao
Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote

Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia 
Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite



Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....

Chanzo cha vurugu niWAFANYA BIASHARA KUGOMA KUNUNUA MASHINE ZA TRA ZENYE THAMANI YA THS 800,000 JIJINI MBEYA, MADUKA YAFUNGWA.

ShareThis