
Watanzania wote baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya viongozi wa vyama vya Upinzani na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini hatimaye viongozi wamekubaliana kuwa maandamano yaahirishwe na badala yake Mkutano wa hadhara pale Jangwani uendelee.
Tutakuwepo pale viwanja vya Jangwani mapema kabisa kuwaletea Liveupdates za mkutano huo. Pia matangazo hayo yatarushwa moja kwa moja (Live) na Kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One.
Pia unaweza kufuatilia matangazo hayo live kupitia online radio Arushamambo FM kwa link http://tunein.com/station/?stationId=158711au http://www.arushamambofmradio.co.tz/
WOTE MNAKARIBISHWA. KATIBA NI YA WATANZANIA WOTE