KESI ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo Jaji amemaliza kutoa hukumu yake na kufutilia mbali tuhuma za kosa la jinai lililokuwa likiwakabili makamanda wa CHADEMA, Henry Kilewo na wenzake. Ametoa ufafanuzi juu ya tuhuma za ugaidi zinazosemwa na kuenezwa na wanasiasa.