http://kariakoodsm.blogspot.com
KARIAKOO BLOG:Kwa Habari Kali Za Mjini | SIASA | BURUDANI | UCHUMI | FASHION | BLOGGER TRICKS | UDAKU | MICHEZO | WASILIANA NA MIMI|0713305567 |urassaombeni@yahoo.com|KWA| MATANGAZO| BABARI| USISITE PIA KUCOMMENT KWENYE HABARI ZETU | <div style='background-color: #de24de;'><a href='http://www.ikiloop.com/' title='link'></a></div>

KHAMISI KIIZA ATUA BONGO KUSAINI MKATABA YANGA

Kigogo wa usajili wa Yanga SC, Seif Ahmad 'Magari' akiwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Friday Kiiza Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya mechi kati ya Tanzania na Uganda. Kiiza amewasili Alasiri ya leo kwa ajili ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Yanga SC, baada ya mvutano wa muda mrefu na uongozi wa klabu hiyo.


Kutoka kulia Kiiza,Katibu was Yanga, Lawrence Mwalusako, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Abdallah Bin Kleb na Seif Magari

Kiiza akifurahia baada ya Uganda kuifunga Tanzania 1-

ShareThis