 |
Baadhi ya Helkoper za kijeshi toka Marekani ambazo zinadaiwa Baadhi zimeanza kutua kwenye Air Port ya Zanzibar na Dar na KIA kwa ajili ya kuimarisha usalama wa Rais wa nchi hiyo. |
 |
AIRFORCE ONE YA RAIS WA MAREKANI IKISINDIKIZWA NA NDEGE MAALUM ZA JESHI |
 |
SECURITY RING(MZUNGUKO) WA WALINZI KUMLINDA RAISI |
 |
Ndege maalum ya kivita itasindikiza Air Force One ya Rais Barak Obama |
 |
Askari maalum (MARINES) wa kulinda ndege ya Rais |
 |
Helkoper zitasambaa jiji zima la Dar kuanzi wiki hii hadi tarehe 2 Julai atakapoondoka Rais |
Sasa kazi imeaaza ndivyo tunavyoweza kusema kwa sasa. Ambapo ndege na Helkoper za kijeshi toka Jeshi la Marekani zimeanza kuwasili ikiwa ni maandalizi tu ya kuimarisha ulinzi na usalama kwenye ujio wa Rais Obama.
Wakiongea na Kariakoo blog, baadhi ya maofisa wa Aripot walisema kuwa " Ndege zimeanza kuingia hasa nyakati za usiku ambapo tayari kuna Helkopter kadhaa zimeshuka usiku wa jana hapa Airpot ya Zanzibar na Dar hivyo kweli hali ya usalama ni kubwa sana" Alisema ofisa huyo
Aidha watafiti wa mambo wanadai kuwa ulinzi wa Obama umekuwa mkubwa kuliko wa Georg W.Bush ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita
DAH INATISHA WA TZ,
ReplyDeleteZAIDI YA ULINZI WA BUSH
ReplyDelete