![]() T ![]() |
Ndege aina ya MARINE ONE, Ikiwa na Raisi Obama na Mkwewe Michelle ikiruka juu ya anga ya Pretoria wakati alipowasili kukutana na Raisi wa Afrika kusini Jacob Zuma |
![]() |
Helcopters ikiwepo Marine One zikiwa zimetua mbele Ya Jengo la Union(Union Building) Pretoria South Africa |
![]() |
Kijana akiwa ndani ya Tshet yenye Picha ya Obama nje ya Hospital Ya Medi-Clinic Heart alipolazwa raisi wa zamani wa Africa Kusini Nelson Mandela Pretoria |
![]() |
Obama akijibu Maswali from kupitia "Video Mtukano" wakati alipokutana na Viongozi vijana Afrika University of Johannesburg Soweto |
![]() |
MAANDAMANO BADO YANAENDELEA KUPINGA UJIO WAKE |
![]() |
WAANDAMANAJI WAKIKWARUZANA NA POLICE HUKO AFRKA KUSINI KUPINGA UJIO WA OBAMA |
![]() |
PICHA YA PAMOJA MTU NA MKEWE MTU NA MKEWE |
![]() |
NA HAWA NAO WALIAMUA KUANDAMANA NYUMA YA CHUO ALICHOTEMBELEA OBAMA KUNA VICHAKA VYA KUTOSHA |

US President Barack Obama and South African President Jacob Zuma give a press conference at the Union Building in Pretoria, South Africa. Zuma welcomed Barack Obama to South Africa, saying the first black US president carried with him the dreams of millions of Africans. During a landmark visit which has been overshadowed by Nelson Mandela's failing health, Zuma said Mandela and Obama were 'bound by history' as the first black leaders of their respective nations

Police use stun grenades in an attempt to disperse protesters outside the University of Johannesburg in Soweto, ahead of a visit by US President Barack Obama

A young man shows his excitement as Obama calls on him for a question

Sasha Obama and her cousin Leslie Robinson sit and listen to Michelle Obama speak at a youth event

First lady Michelle Obama waves to participants after a virtual discussion event with young people at the Sci-Bono Discovery Centre in Johannesburg

Michelle Obama hugs Tebogo Tenyan, 16, during a youth event


Obama toasts with his wife Michelle during an official dinner hosted by South African president Jacob Zuma at the Presidential Guest House in Pretoria
No comments:
Post a Comment