http://kariakoodsm.blogspot.com
KARIAKOO BLOG:Kwa Habari Kali Za Mjini | SIASA | BURUDANI | UCHUMI | FASHION | BLOGGER TRICKS | UDAKU | MICHEZO | WASILIANA NA MIMI|0713305567 |urassaombeni@yahoo.com|KWA| MATANGAZO| BABARI| USISITE PIA KUCOMMENT KWENYE HABARI ZETU | <div style='background-color: #de24de;'><a href='http://www.ikiloop.com/' title='link'></a></div>

KUHUSU MUONEKANO WA DARAJA LA MANZESE


UTATA 


Picha hii imekua ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii  wakidai kuwa huu ndiyo utakua muonekano wa daraja la Manzese. ....

Mdau wa tulonge amejaribu kufanya uchunguzi kugundua kuwa hii ni project ambayo ilipangwa kufanywa na wachina huko Thailand mwaka 2010.....

Mimi binafsi pia sijawahi sikia serikali ikisema kuwa huu ndiyo utakua muonekano wa daraja la Manzese na Morogoro road kwa ujumla.....

Kama kuna mdau anafahamu mengi kuhusu hili atujuze ilitusije tukawa tunadanganyana  na  kufarijiana.....

ShareThis